Advertisements

Wednesday, January 8, 2020

THELUJI YA KWANZA YADONDOKA DMV

Image result for snow dmv area jan 7, 2020
Theluji ya kwanza majira ya baridi 2019/2020 ikidondoka siku ya Jumanne Jan 7, 2020 majira ya alasiri ambayo haikua na madhara mengi iliyokua imechanganyika na mvua nabaadae ikigeauga theluji iliyodondoka kwa takribani saa 3 na nusu na kusababisha maeneo mengi ya DMV shule kufungwa mapema ikiwemo wafanyakazi kuruhusiwa kutoka makazini mapema.
Image result for snow dmv area jan 7, 2020
Barabara zilivyokua zikionekana
Image result for snow dmv area jan 7, 2020
Magari yakipaula theluji iliyodondoka na kumwaga chumvi kuyeyusho theluji iwe rahisi kwa wanao tumia vyombo vya moto kuendesha kwa urahisi bila kuteleza na kupoteza umakini barabarani.

No comments: