Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian
Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo
Tanzania (CCT) Akikata keki ishara ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Kanisa jipya la Moravian Tanzania, Ushirika wa Mabibo ambapo Ibada ya uzinduzi ilifanyika katika kanisa hilo Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT), Akitoa neno wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Mchungaji Saul Kulyafiki Kajula mwenyekiti wa Jimbo Moravian Mashariki akitoa neno wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Mgeni rasmi Bw. Daniel Malanga akitoa neno wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Bw.Deodatus Siwale Mwenyekiti wa wa Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian Akitoa maelezo zaidi namna ambavyo ujenzi wakanisa hilo jipya la kisasa utakavyokuwa na kuwahimiza waumini kuungana kwa pamoja ili ujenzi ufanikiwe kwa haraka
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian Bw. Elias Reuben Ambokile akitoa neno kwa niaba ya wanakamati wote wa ujenzi wa Kanisa jipya la kisasa
Bw. Solomon Kibona Katibu wa Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian, akielezea zaidi kuhusu mambo mbalimbali yatakayokuwepo katika kanisa hilo.
Wanakamati wa Kamati ya miradi na maendeleo Mabibo Moravian
Mchungaji wa Ushirika wa Mabibo Ntufye Mbukwa (anayeongea) akitoa neno kwa niaba ya Baraza la wazee Ushirika wa Mabibo.
Baadhi ya kwaya zikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Waumini wakiwa katika Ibada ya uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Dkt. Rt. Alinikisa Cheyo Askofu wa Kanisa la Moravian
Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi na Mwenyekiti wa Jumuia ya Kikristo
Tanzania (CCT), akifunga ibada ya uzinduzi wa ujenzi wa kanisa jipya la Moravian Tanzania Ushirika wa Mabibo.
Picha zote na Fredy Njeje
No comments:
Post a Comment