Tuesday, April 14, 2020

Alikiba Apata Pigo Zito


WASANII wawili waliokuwa chini ya lebo ya Kings Music inayomilikiwa na Staa wa Bongo fleva, Alikiba, Cheed na Killy wametangaza kujitoa katika lebo hiyo kiroho safi kuanzia leo.

Wasanii hao wamefunguka hayo kwa nyakati tofauti alfajiri ya leo Jumanne, Aprili 14, 2020, kupitia kurasa zao za instagram ambapo wamesisitiza kuwa sio kwa nia mbaya bali ni ili kusogeza muziki wao mbele.


Naitwa Rasheed almaarufu kama cheed nikijulikana kama msanii wa @kingsmusicrecords……… napenda kuwajulisha fans wangu watu wangu wote waliokuwa wakisupport mziki wangu na wanaoendelea kussuport kazi zangu na hata wasiosupport pia ni kwamba kuanzia leo hii napenda kutamka kuwa mimi sio tena msanii wa @kingsmusicrecords

Nimeamua hili kwa akili yangu timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu wa aina yeyote ile na sijatumia kilevi chochote kile ni maamuzi yangu tu binafsi na ni kwa ajili ya muendelezo wa mziki wangu.
Alikiba amekuwa ni mtu muhimu sana kwenye maisha yangu amekuwa ni mtu ambae amenionyesha njia na kuniaminisha mimi pamoja na mziki wangu mbele ya jamii Inshallah mwenyezi mungu amlipe kwa kila alichonifanyia na kujitolea kwa ajili ya mziki wangu namshkuru sana sana sana nasitoacha kumshkuru siku zote za maisha yangu naumia 😭😭😭

Ila sina budi @officialalikiba nakupenda sana my brother nakupenda mnooo na unajua hilo,cha zaidi napenda nikushkuru kwa kunielewa nikiwa kama mdogo wako bado nahitaji baraka zako bado ntahitaji support kutoka kwako kwa namna moja ama nyingine ama kwa kile ambacho kitakuwa na umuhimu kuwa supported na ningeomba pia uniombee dua safari yangu iwe njema na yenye mafanikio popote pale ntakapokuwa as long as najua hatujaachana kwa ubaya na wala hatujawahi kuwa na ugomvi labda NO.

Pia ningependa kuwashkuru waliokuwa wakisimamia kazi zangu ili ziweze kuwafkia kwa haraka mashabiki zangu na kuweza kufika kwa haraka kwenye media tofauti tofauti nazungumzia managers wangu @beingaidancharlie @suleshsulle @rehemavisuallab @esilovey1 nawapenda sana nashkuru sana kwa time yenu kwa yote mazuri mlioweza kunifanyia sitoweza kusahau nyakati zote tulizopitia bado nyinyi mtabaki kuwa watu muhimu kwenye career yangu.Love you all ❤️❤️❤️ asanteni sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 amesema Cheed.



Kwa upande wake Killy ameandika; Naitwa Ally killy Omary almaarufu kama killy nikijulikana kama msanii wa @kingsmusicrecords, napenda kuwajulisha fans wangu watu wangu wote waliokuwa wakisupport mziki wangu na wanaoendelea kussuport kazi zangu na hata wasiosupport pia ni kwamba kuanzia leo hii napenda kutamka kuwa mimi sio tena msanii wa @kingsmusicrecords nimeamua hili kwa akili yangu timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu wa aina yeyote ile na sijatumia kilevi chochote kile ni maamuzi yangu tu binafsi na ni kwa ajili ya muendelezo wa mziki wangu.

Alikiba amekuwa ni mtu muhimu sana kwenye maisha yangu amekuwa ni mtu ambae amenionyesha njia na kuniaminisha mimi pamoja na mziki wangu mbele ya jamii Inshallah mwenyezi mungu amlipe kwa kila alichonifanyia na kujitolea kwa ajili ya mziki wangu namshkuru sana sana sana nasitoacha kumshkuru siku zote za maisha yangu naumia 😭😭😭

Ila sina budi @officialalikiba nakupenda sana my brother nakupenda mnooo na unajua hilo, cha zaidi napenda nikushkuru kwa kunielewa nikiwa kama mdogo wako bado nahitaji baraka zako bado ntahitaji support kutoka kwako kwa namna moja ama nyingine ama kwa kile ambacho kitakuwa na umuhimu kuwa supported na ningeomba pia uniombee dua safari yangu iwe njema na yenye mafanikio popote pale ntakapokuwa as long as najua hatujaachana kwa ubaya na wala hatujawahi kuwa na ugomvi labda NO.

Pia, ningependa kuwashkuru waliokuwa wakisimamia kazi zangu ili ziweze kuwafkia kwa haraka mashabiki zangu na kuweza kufika kwa haraka kwenye media tofauti tofauti nazungumzia managers wangu @beingaidancharlie @suleshsulle @rehemavisuallab @esilovey1 nawapenda sana nashkuru sana kwa time yenu kwa yote mazuri mlioweza kunifanyia sitoweza kusahau nyakati zote tulizopitia bado nyinyi mtabaki kuwa watu muhimu kwenye career yangu.Love you all ❤️❤️❤️ asanteni sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

 Chanzo GPL

No comments: