ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 30, 2020

CelebAfrica EP12 Utekelezaji wa Lockdowns

CelebAfrica ni kipindi kinachoonekana Clouds Plus (DSTV 294) ambacho kinajikita kwenye kusherehekea ama kuthamini mengi yahusuyo Afrika.

Katika kipindi hiki maalum, tumegusia baadhi ya changamoto katika kutekeleza sheria za kukaa ndani ama Lockdown, ambazo zimetumika katika mapambano dhidi ya maradhi ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi vya Corona

Tumeangalia kwa undani kuhusu ammbo mbali yahusuyo lockdowns na namna ambavyo kumekuwa na utata katika utekelezaji wake

Ungana na Patrick Newman na Mubelwa Bandio kwenye kipindi hiki cha leo Na pia, usisahau ku-subscribe

No comments: