Monday, April 6, 2020

HOSTELI ZA WANAFUNZI WA UDSM SEHEMU YA MLIMANI, MAARUFU HOSTELI ZA MAGUFULI KUTUMIWA NA WATU WATAKAOWEKWA KARANTINI KWA SIKU 14 MARA TU WAINGIAPO NCHINI


Waziri wa Afya, Mhe.Ummy Mwalimi, Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt.Faustin Ndungulile na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakitembelea hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani zinazojulikana kama hosteli za Magufuli Aprili 5, 2020.
Mhe. Waziri ametangaza kuwa katikakipindi hiki, hosteli hizo zitatukika kuwaweka karantini kwa muda wa siku 14 wageni wote watakaoingia nchini kutoka nchi za nje ikiwa ni moja ya hatua za kujihami na ugonjwa wa Corona.



No comments: