Friday, April 17, 2020

Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 94

Wizara ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya wa corona sita nchini na kufikia wagonjwa 24 kutoka 18 ambao walitolewa taarifa Aprili 15, 2020. Hivyo Tanzania kwa ujumla ina visa vilivyoripotiwa 94 vya wagonjwa wa #covid19.

No comments: