Friday, April 17, 2020

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu akiwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2020/2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 16, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: