ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 4, 2020

Serikali Yatoa Tamko Mazishi Usiku


Wizara ya Afya, Maendeleo Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema hakuna haja ya maiti iliyofariki kwa Ugonjwa wowote ule kuzikwa gizani, na kuwaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuzishirikisha familia na kufuata taratibu zote za utu.

 GPL

No comments: