Advertisements

Monday, June 29, 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MAHANDAKI YATAKAYOPITISHA TRENI YA KISASA YA UMEME STANDARD GAUGE SGR KILOSA MKOANI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Rudewa-Kilosa Km 24 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya Mawaziri, wakuu wa Mikoa, viongozi mbalimbali, akikata utepe ili kuzindua mitambo itakayotumika katika ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mawaziri, baadhi ya Viongozi wa Serikali, katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Kampuni zinazojenga mradi wa Reli ya Kisasa SGR Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye handaki la Reli ya Kisasa ya SGR lenye urefu wa Km 1.1 ambalo litapitisha treni hiyo katika eneo la milima ya Kilosa mkoani Morogoro.
Sehemu ya Handaki kubwa lenye urefu wa Kilometa 1.1 ambalo litapitisha treni hiyo katika eneo la milima ya Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita ndani ya Handaki kubwa lenye urefu wa kilometa 1.1 kulikagua mara baada ya kuweka jiwe la msingi la miradi hiyo ya ujenzi Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kuweka kumbukumbu kwenye ukuta wa Handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua Handaki hilo mkoani Kilosa mkoani Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya Handaki kubwa mara baada ya kumaliza kulikagua Handaki hilo mkoani Kilosa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akitoka kwenye Handaki kubwa la Reli ya Kisasa mara baada ya kulikagua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe wakati akionesha sehemu sehemu litakapojengwa daraja la kupitisha Reli katika Mto mkondoa Kilosa mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Kilosa wakati alipowasili katika eneo la ujenzi wa mradi wa miundombinu ya Treni ya Kisasa ya umeme SGR pembezoni mwa mto Mkondoa Kilosa mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

No comments: