Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia
masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya mazungumzo yao Ikulu leo tarehe 28 Mei, 2021.
Msaidizi
wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN
Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza na Wanahabari mara baada
ya mazungumzo yake na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment