Saturday, May 7, 2022

TCRA YAIFUNGIA VIDEO YA WIMBO WA DIAMOND NA ZUCHU 'MTASUBIRI SANA'


Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza kusitishwa kwa wimbo wa Diamond Platnumz Ft. Zuchu - Mtasubiri Sana, kutokana na kipande kinachomuonesha Zuchu akiimba kwaya kanisani na baadaye akaacha baada ya kupigiwa simu.

Mamlaka hiyo imesema kipande hicho kimeibua ukakasi na hisia za dharau juu ya dini/madhehebu flani.

No comments: