RAIS SAMIA AWASILI NIGERIA KWENYE SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS MTEULE TINUBU
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Abuja nchini Nigeria kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe. Bola Tinubu.
No comments:
Post a Comment