Advertisements

Saturday, June 3, 2023

KATIBU MKUU WIZARA YA MADINI AKUTANA NA WATENDAJI WA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA YAKE

 

Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali, akiongoza kikao cha Watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Madini leo Juni 2, jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu).
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali ameongoza kikao cha Watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Madini leo Juni 2, jijini Dar es Salaam. 

Kikao hicho cha Wadau wa Ndani wa Takwimu za Sekta ya Madini kililenga kujadiliana namna Bora ya Uzalishaji, Uchakataji na Usambazaji wa Takwimu na Taarifa zinazohuzu Sekta ya Madini ikiwemo Ukuaji na Mchango wa Sekta katika Pato la Taifa.

 Baadhi ya wadau wakiwa katika kikao hicho.

No comments: