Advertisements

Friday, June 9, 2023

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista MhagamaBungeni jijini Dodoma, Juni 9, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Urambo Margareth SittaBungeni jijini Dodoma, Juni 9, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: