ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 8, 2023

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR (JUWAZA)



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wa Jumuiya wa Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza kwa kuwaongeza Pencheni ya Wazee Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw.Aboud Talib Aboud (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-6-2023.(Picha na Ikulu)




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA)baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

No comments: