Thursday, January 25, 2024

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEJI WAKE RAIS JOKO WIDODO WA INDONESIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano 5wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo pamoja na ujumbe wake katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa habari kuelezea masuala mbalimbali ya ziara yake nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2024. Pembeni ni mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakielekea kwenye mkutano na waandishi wa habari katika Ofisi za Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakiangalia Vikosi vya Gwaride la Heshima vikipita mbele wakati wa Mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika Mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Bogor Presidential Palace, 25 Januari, 2024.

No comments: