Sunday, January 21, 2024

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA NAM UGANDA



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wa Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), Kampala - Uganda. Kulia ni Mke wa Rais Janet Museveni.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Sri Lanka Ranil Wickremesinghe kando ya Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM). Kampala Uganda. Mheshimiwa anamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameshiriki ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali zisizofungamana na Upande Wowote (NAM), Kampala nchini Uganda. Waziri Mkuu amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.


No comments: