Saturday, October 19, 2024

IGP WAMBURA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA UPELELEZI



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura akizungumza na Wakuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Wilaya katika kikao kazi kilichofanyika Jijini Dodoma ambapo aliwaelekeza kufanya kazi kwa kuzingatia dira ya Jeshi hilo na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa kutenda haki, weledi na uadilifu. Picha na Jeshi la Polisi









No comments: