Monday, October 14, 2024

RAIS DKT. SAMIA ATETA NA ZUHURA YUNUS KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

 
Rais wa  Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, jijini Mwanza leo  kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge leo Oktoba 14,2024. Katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Petrobas Katambi.

No comments: