Wednesday, October 9, 2024

ZUHURA YUNUS AKAGUA MAANDALIZI KILELE CHA MWENGE, MWANZA


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, (Kazi,Vijanq,Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus mapema Leo, Oktoba 9, ametembelea eneo la uwanja wa CCM Kirumba kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya maandalizi ya maadhimisho ya kilele cha Mwenge wa Uhuru kinachotarajiwa kufanyika, Oktoba 14, 2024. Wakati akikagua uwanja huo, Zuhura Yunus aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus (kushoto), na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mtanda (kulia), wakikagua maandalizi ya maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge yatakayofanyika Oktoba 14 kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

Picha: Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)





No comments: