Saturday, January 20, 2024

WAZIRI NAPE AZINDUA BODI YA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amezinduzi Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi uliofanyika katika ukumbi wa TCRA, jijini Dodoma  Januari 19, 2024.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb), akionyeshwa kitu na Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Balozi (mstaafu), Adadi Rajabu.



No comments: