Advertisements

Monday, March 25, 2024

KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AZUNGUMZA NA WATUMISHI, AIHIMIZA KUJITUMA, WELEDI


Katibu Mkuu, Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri akizungumza na watumishi wa Wizara ya Maji, katika kikao kilichofanyika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Mhandisi Mwajuma ametumia kikao hicho kuwataka watumishi kujitoa kwa upendo katika kazi na kutumia weledi ili kufanikisha huduma ya maji kwa jamii.

No comments: