Advertisements

Thursday, June 13, 2024

MATUKIO KATIKA PICHA DKT. MWIGULU AKIWASILISHA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA TANZANIA BUNGENI JIJINI DODOMA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akionesha mkoba wenye hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 wakati akwisili viwanja vya bunge jijini Dodoma Juni 13, 2024.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akisoma hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 bungeni jijini Dodoma Juni 13, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2024/25 kwa njia ya runinga nyumbani kwake Chamwino Mkoani Dodoma.Hotuba hiyo ilikuwa ikisomwa bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Spika mstaafu wa Bunge, Mhe. Anna Makinda na Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda nao walikuwepo.

No comments: