Advertisements

Friday, June 14, 2024

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Zuhura Yunus Abdallah kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo kuwa Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- (Mipango na Uwekezaji) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Felister Peter Mdemu kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum (anayeshughulikia Masuala ya Jinsia na Wanawake). Hafla ya Uapisho imefanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Lorah Basolile Madete Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Mursali Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Linda Margaret Kokulamula Ezekiel kuwa Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Masoud Hadi Muruke kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mariam Mchomba Omary kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Projestus Rweyongeza Kahyoza kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Nehemia Ernest Mandia kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha George Hillary Herbert kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.

No comments: