Saturday, October 19, 2024

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAHAFALI YA 12 YA ZANZIBAR SCHOOL OF HEALTH UWANJA WA MAO ZEDONG




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutunuku Wahitimu wa Skuli ya Afya Zanzibar “Zanzibar School of Health” katika Mahafali ya Kumi na Mbvili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar School Health Aziza Omar Hemed.
WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga (Nursing and Midwifery) wa “Zanzibar School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
WAHITIMU wa Stashahada ya Ufundi Stadi Madawa (Pharmaceutical Science)wa “Zanzibar School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024


WAHITIMU wa Stashahada ya Kukabiliana na Maafa (Disaster Management) Ufundi Stadi Madawa (Pharmaceutical Science) wa “Zanzibar School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024





WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga (Nursing and Midwifery) wakila kiapo cha Uaminifu baada ya kutunukiwa Stashahada zao katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health “ yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024



WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga (Nursing and Midwifery) wakila kiapo cha Uaminifu baada ya kutunukiwa Stashahada zao katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health “ yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024







RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed , wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Maalumu Bi. Talaa .M. Msellem, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024





VIONGOZI wa Serikali na Wanafamilia wa Wahitimu wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya Skuli ya Afya Zanzibar (Zanzibar School of Health) wakifuatilia mahafali hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa mahafali hayo, baada ya kuwatunuku Stashahada


No comments: