ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 17, 2010

Msiba Minnesota


Dada yetu Mkamiti kibayasi wa Voice of America(kiswahili) amefiwa na 
Mama yake mzazi huko Minnesota Juzi 2/14/10 mipango ya kusafirisha maiti inaendelea na Msaada wako kama Mtanzania unahitajika.Mkamiti ni dada yetu na sisi tuliopo Marekani ndio ndugu zake wa karibu,kwani leo ni Mkamiti,kesho ni mimi na wewe,kufiwa hakuna mmoja
Zinahitajika $12,000 kwa ajili ya gharama za kuusafirisha mwili wa marehemu Nyumbani . Tunaombwa sote tushirikiane na mwenzetu.UMOJA NI NGUVU na tunaposhikamana hapashindiki jambo
Tunaweza kufikisha michango yetu kupitia:-

Account informations:
Nassor Shabibi
Wells Fargo/Wachovia Minnesota
account number- 
7291478057
Na 
routing number ni 091000019

Kwa maelezo zaidi wasiliana na wafiwa..
( 651)343-5897,

No comments: