ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 28, 2010


Image
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM Ikulu, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume (kulia), Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba (wa pili kushoto), Makamu wa CCM Bara Pius Msekwa, Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu awamu ya Tatu Benjamin Mkapa na Waziri kiongozi wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha. (Picha na Freddy Maro).

No comments: