ANGALIA LIVE NEWS
Monday, March 1, 2010
Ndege ya ATCL yapata ajali
Ndege ya ATCL aina ya Boeing 737 ikiwa imelalia tumbo baada ya tairi lake la mbele kupasuka jana asubuhi wakati ikitua katika uwanja wa ndege wa Mwanza. Hakuna majeruhi katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment