ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 24, 2010

Obama na Netanyahu wakutana


Israel's Likud Party leader and former prime minister Benjamin Netanyahu (L) shakes hands with US Democratic presidential candidate Senator Barack Obama (D-IL) during their meeting on July 23, 2008 in Jerusalem, Israel. Obama began a visit to Jerusalem on Wednesday pledging staunch support for Israel and saying that if elected, he would work to reinvigorate the Middle East peace process.  
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amefanya mazungumzo ya faragha na rais Barack Obama wa Marekani katika ikulu ya White House.
Ni mazungumzo yao ya kwanza tangu serikali za nchi hizo mbili kutofautiana hadharani hivi karibuni, kuhusu mpango wa Israeli wa ujenzi wa makazi mapya ya wayahudi mashariki mwa Jerusalem.
Wakati wa ziara yake nchini Marekani Bwana Netanyahu amerejelea kile alichosema ni haki ya Israeli ya kujenga mjini Jerusalem.
''Jerusalem ni mji mkuu wa Israeli na si makazi'', alieleza Bwana Netanyahu.

No comments: