![]() |
| Tela la lori la mafuta lenye namba za usajili T192ABP likinyanuliwa ili kunasua maiti tisa kati ya 11 zilizokuwa zimebanwa na tela hilo ndani ya daladala lenye namba za usajili T615AJW (chini).Magari hayo mawili yaligongana na kusababisha vifo vya abiria wa daladala hilo eneo la Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi) |

No comments:
Post a Comment