![]() |
| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) pamoja na Waziri Mkuu wa Finland, Matti Vanhanen wakiangalia ngoma toka kikundi cha JKT, wakati Waziri Mkuu huyo alipowasili jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kwa ziara ya siku tatu nchini. (Picha na Fadhili Akida) |

1 comment:
Nikipata unyerere napiga marufuku huu ujinga.Wenyewe ukienda kwao wanakupa ua mchezo umekwisha sisi mjashojasho tuu.
Post a Comment