Simba
Yanga
Na mwandishi wetu,Dar
Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga sasa imeahirishwa mpaka jumapili ijayo kutokana na serikali kuingilia kati baada ya timu hizo kuukacha uwanja mpya kutokana na kuchukua asilimia 20 ya mapato ya mlango.Serikali imebidi iingilie kati swala hilo kwa sababu ya usalama wa wachezaji na mashabiki wa timu hizo,uwanja wa uhuru ni padogo hasa ukizingatia mechi hiyo imekua gumzo kwa mashabiki hasa ikizingatiwa mara ya mwisho Yanga iliibuka mshindi

No comments:
Post a Comment