ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 10, 2010

Rais Kikwete kuingia NY,Jumanne


Rais Jakaya Kikwete atawasili New York Jumanne April 13,ataambatana na Waziri wa Elimu,Pr.Jumanne Magembe,Waziri wa Afya Zanzibar,Sultan Muheri,Waziri mambo ya Nje,Blz.Seif Ally Idd na atakuwa pamoja na wataalamu wa uchumi

Wakati huo huo,kamati ya Bunge ya mambo ya nje itawasili leo mjini Washington,Dc,kutembelea ofisi za jengo jipya la ubalozi na nyumba zinazo milikiwa na serikali mjini Washington,Dc,msafara huo utaongozwa na Mh. Wilson Masilingi ambaye atakua nao pamoja na Mbunge kiti(CCM) Mh. Juma Hassan Kilimbah,Mbunge kiti(CUF) Mh.Khalifa Suleiman Khalifa na mkurugenzi msaidizi ambaye pia ni katibu wa kamati Theonest Ruhilabake

No comments: