Mpwa akipokea mshiko kutoka kwa besidei boi George Mwasaliba tayari kuwarusha hapo jumamosi April 17,Mirage Hall kwenye besidei ya ubwete,wengine watakao kuwa pamoja ni John Sitta na Venessia Kitwara(mke Abdalah Kitwara),besidei hii iko wazi kwa kila mtu,muziki na kanywaji mpaka asubuhi
Benja Mwaipaja mfazili wa Simba Ughaibuni
1 comment:
huyo mfadhili mbona hatokei kwenye gemu...owen
Post a Comment