![]() |
| Baadhi ya wapigapicha na marafiki wa Mpigapicha Mkuu wa Gazeti hili (Habari Leo), Athumani Hamisi wakimsindikiza kuingia katika ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo), Dar es Salaam jana kwa ajili ya kutoa shukrani zake kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Kampuni ya Magazeti ya Serikali ya TSN kwa kumpa ushirikiano tangu alipopata ajali mpaka hivi sasa. (Picha na Yusuf Badi) |

No comments:
Post a Comment