
Mshambuliaji nyota a Kimataifa wa timu ya taifa Brazil Kaka Ricardo, akijaribu kuwatoka wachezaji wa Taifa Stars, Erasto Nyoni na Abdulhalim Humoud (kulia)katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki, uliochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Brazil ilishinda 5-1. Picha na Emmanuel Herman
No comments:
Post a Comment