ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 6, 2010

BBQ ya SHAM THABEET,Greencastle,MD

 
Sham Thabeet dada ya Hasheem Thabeet kwenye U-kodak moment
Sham Thabeet na Adam Tenga
Dedy Luba akiteta jambo na mmiliki wa MT.ZION
Libe na Digna
Rich Rich akirekebisha makulaji ya BBQ
Vijana wakipanga mechi ya marudiano na MT.ZION ifanyike wapi
Vijana wakibishana jambo
Digna Shayo akiwa na mtoto wa Adam Tenga
Dedy Luba na Roger
Vijana wakipashana habari za hapa na pale
Jabiri na Severin
Kidevu akipata upaja wa kuku
Omar akikorofisha BBQ
Ismail na Dedy Luba
Omar na Mkewe
Yahaya Kheri mchezaji wa Stars United
mpwa akila konoz na Sham Thabeet

Adam Tenga akipata u-kodak na Sham Thabeet

No comments: