ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 8, 2010

Hii ni timu ya kikapu ya Pazi,Je unaweza kuwakumbuka ni akina nani hawa? na huu ni mkoa gani!!!!?

2 comments:

Anonymous said...

Waliochuchumaa toka kulia Kocha Kange, Patrick, Marehemu Ndashau, simkumbuki wa mwisho. Waliosimama toka kushoto, Thomasi Shempemba, Mbaga, simjui, Abbasi,Sidi Kikenya,Zonga,and Yassini

Anonymous said...

mkoa ni Mbeya