ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 8, 2010

Image
Maaskari kanzu wakimpandisha garini mtuhumiwa wa utapeli katika Benki ya FBME iliyopo mtaa wa Samora Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mtuhumiwa huyo anadaiwa kuingia benki na hundi bandia akijaribu kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. (Na Mpigapicha wetu).

No comments: