![]() |
| Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, akiagana na Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, baada ya misa ya kumwombea Nyerere atangazwe Mtakatifu. Misa hiyo ilifanyika katika Kanisa Katoliki la Mashahidi wa Uganda,Namugongo, Kampala, Uganda, jana.(Picha na Freddy Maro). |

No comments:
Post a Comment