ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 3, 2010

Image
Mtoto Grace Calvin (5) akiwa na mama yake mzazi, Glory Samwel, nje ya kituo cha Polisi Hedaru wilayani Same, Kilimanjaro. Juzi kundi la wananchi lilikichoma moto kituo hicho kwa lengo la kuwaua watuhumiwa waliodaiwa kumteka mtoto huyo.(Na Nakajumo James)

No comments: