| Uhakiki wa CCJ Dar vurugu tupu, TENDWA ADAI WANACHAMA HALALI NI 13 TU, ZOEZI LASITISHWA |
| Friday, 04 June 2010 00:08 |

Mwenyekiti wa Chama Cha Jamii (CCJ) Richard Kiyabo, akizuiwa na mlinzi wake wakati akielekea kwenye meza ya msajili wa vyama, John Tendwa kumlalamikia kuhusu zoezi la kuhakiki wanachama wa chama hicho viwanja vya Temeke Mwembeyanga jijini Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale
No comments:
Post a Comment