ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 21, 2010

Image
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete akiwaonesha wanachama wa chama hicho fomu muda mfupi baada ya kuichukua mjini Dodoma leo asubuhi kuomba ridhaa ya CCM agombee urais wa Tanzania. Pembeni kulia ni mke wake, Salma. (Picha na Freddy Maro)

No comments: