
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kushoto) akiwa na mmoja wa wadau wanaohusika na masuala ya usajili Msimbazi, Musleh Al Rawahi mara baada ya kufanikiwa kumnasa Patrick Ochan, raia wa Uganda kutoka St Georges ya Ethiopia.


PICHA KWA HISANI YA SIMBA.
Ochan akimwaga wino...nimekubali
No comments:
Post a Comment