ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 25, 2010

Banyana wainyuka Twiga 6-0!

Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, ambayo iko nchini Afrika Kusini kwa mazoezi, juzi ilibugizwa bao 6-0 na timu ya wenyweji wao Banyana Banyana katika mchezo wa kirafiki. Matokeo hayo bila shaka yamewafungua masikio wachezaji na viongozi wao kwani walidhani ni bora. Pichani juu ni msanii wa Sauzi akitoa burudani wakati wa mapumziko wa mechi hiyo.
heka hke langoni
burudani ya muziki kwa mashabi

PICHA: Saleh Ally/GPL-SA

No comments: