Video ya wimbo wa Kafara wa msanii chipukizi wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Tanzanite ambao ameuimba kwa mahadhi ya wimbo wa Mbagala wa msanii mwingine ajulikanae kwa jina la Diamond.Wimbo huu umezua mjadala nchini Tanzania baada ya Diamond kudaiwa kwenda COSOTA kupinga wimbo huo kupigwa hewani, huku Tanzanite akidai alishapewa na Diamond idhini kuimba wimbo wake kwa staili hiyo
Original Version ya wimbo Mbagala wa msanii Diamond
Tanzanite, na wimbo wa Kafara
No comments:
Post a Comment