ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 4, 2010

watu wamependeza Boat Party,MN


Ebra na Mwana Njenje wakiwa ndani Minnesota

Mwana Njenje kushoto na Ebra  walipowasili MSP,Minnesota

Simon mweny T-shirt ya njano akiwa na Ebra kwenye Kabalee ijumaa usiku,Minnesota

Mzee wa New York,akitabaruku kidogo


Juu na chini vijana wakijiandaa kuingia kwenye Boat,Stillwater,MN

No comments: