ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 8, 2010

Bracket na Yoriyori ndani ya Fiesta Dar




Juma Nature bado ameendelea kudhihirisha ule usemi wa mtaani kuwa 'ana kizizi' baada ya kupata 'zali la mentali' la kupafomu wimbo mmoja na msanii kutoka Marekani Lil Kim kwa kumpelekesha katika wimbo wake wa Mugambo ambao ulichengua maelfu ya mashabiki waliofurika katika viwanja vya Leaders usiku wa kuamkia leo. Nature alikuwa msanii pekee aliyepata bahati ya kuimba jukwaa moja na msanii huyo ambaye alionekana kumzimia ile mbaya kwa kum' hagi na kumpiga mabusu mara kwa mara hadi kupachikwa jina la Shemeji!. 
Lil Kim akipanda stejini
...everybody stand up....!
...na sisi tuchukue kumbukumbu
....Nature na zali la Mentali
Kim aliingia kwa staili hii
Wasanii kutoka Nigeria Bracket wakifanya makamuzi
...Fiesta Hallo!
....Najua mnapenda nyimbo nzuri ooh yeah.....K-Sher wa Tip Top Conn
..haya sasa....wengine wanaangalia, wengine wanalala!

...nyomi ya kihistoria
..mzuka wa Fireworks
..Mpango mzima wa nyomi
...B Dozen ...(kushoto) akishoo some luv na warembo wakiongozwa na Jokate


PICHA: Richard Bukos/GPL

No comments: