ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 8, 2010

Mgombea Urais kwa tikieti ya CHADEMA, DK. Slaa akipungui mkono mashabiki waliofika katika viwanja vya Jangwani leo kumsikiliza katika mkutano wa kuomba udhamini kwa wakazi wa Dar e salaam
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimia wafuasi wake wakati akiingia katika viwanja vya Jangwani
Wafuasi wa Chadema wakiwa katika mstari wa kuwapokea viongozi wao
vifijo na nderemo zilitawala
ujumbe kutoka kwa 'wana vyuo' vikuu
vijana wa Chadema, akiwemo msanii Mr. II 'sugu' (kati) na Mkoloni (kulia)
..viongozi wakipokewa kwa furaha
safu ya viongozi katika mkutano wa Jangwani leo


Dk Slaa na Mbowe wakiteta jambo
sehemu ya umati uliohudhuria
helikopta ya Chadema ikivinjari angani kabla ya kutua Jangwani
Image
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dkt.Wilbrod Slaa, akizungumza na wakazi wa Dar es Salaam waliofika katika viwanja vya Jangwani kumsikiliza. (Picha na Yusuf Badi

No comments: