ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, October 26, 2010

PWEZA PAUL AFARIKI DUNIA

Pweza Paul enzi za uhai wake.
PWEZA aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa kutabiri baadhi ya matokeo ya mechi za michuano ya kombe la dunia, iliyofanyika nchini Afrika Kusini, maarufu kwa jina la Paul, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani alipokuwa akifugwa.
                                                                PICHA KWA HISANI YA GPL

No comments: